Ni umri wa sasa wa meneja wa Arsenal ambaye miaka kadhaa iliyopita Alizaliwa huko mjini Starsbourg,1996 wakati mi nazaliwa meneja huyu wa ufalansa ndio mwaka alioanza kuinoa club ya Arsenal.Mbali na kudumu Kwa muda mrefu ndani ya club ya Arsenal ,2004 Wenger alimaliza msimu mzima ktk ligi ya FA bila ya kupoteza mchezo wowote. Jina LA mfaransa huyo lilianza kujulikana zaidi kutokana na mafanikio aliyoyapata wakati akiinoa club ya As Monako. Linapokuja swala la wasomi hauwezi kabisa kutomzungumzia Wenger kwa sababu yeye ni miongoni mwa makocha wasomi duniani,tayari Wenger ana stashaada ya uandizi ktk nyanja za electronic kama hiyo haitoshi pia Wenger anayo stashaada ya Uchumi. Elimu ya mzee Wenger aliipata ktk chuo cha Strasbourg university. Kuhusu lugha ambazo Wenger anaelewa kwa ufasaha zaidi ni Kingereza, kifaransa, kijerumani pamoja na kihispania. Kwa mbali pia Wenger anakielewa kiitaliano pamoja na kijapani, hii inatosha kudhihilisha ni jinsi gani Wenger anavyoepuka shida za lu...