WENGER AOWA MCHEZAJI
Ukweli na uwakika , meneja wa sasa wa club ya Arsenal , mzee Wenger miaka kadhaa iliyopita alimuoa mchezaji wa mpira wa kikapu 'Annie brosterhous ambaye hadi sasa ndiye mkewe , ktk maisha ya ndoa yao ambayo imedumu mpaka hivi sasa Wenger na Annie wamefanikiwa kupata mtoto mmoja tuhhh ambaye anajulikana kwa jina la Lea Wenger.
Comments
Post a Comment