PRAY FOR NDEMLA

Baada ya tetesi za mwendo  kasi kushika nafasi  ktk nchi ya wachapakazi juu ya ndemla kuusishwa na mpango wa kwenda  kucheza soka LA kulipwa nchini Sweden.Hatimaye meneja wa Said Ndema Amethibitisha juu ya dili hilo huku Akisisitiza ni ukweli mtupu kuhusiana na ndemla kwenda kukiputa cha kulipwa nchin sweden Safari ya kwama Mbali na meneja huyo kusibitisha juu ya taarifa   hizo lakini bado ndemla yupo  nchini  tanzania.Kutokana na kukosekana kwa visa Itakayo mruhusu kwenda  Sweden pamoja na kufanya kazi nchini humo.

Comments

Popular posts from this blog

MONDI BABA LA MABABA