IJUE THAMANI YA RAFIKI

Sote tunafahamu kwa sasa mreno christiano Ronaldo anaitumikia adhabu yake aliyopewa na chama cha mpira cha Hispania  kutokana na kosa La kumsukuma mwamuzi wa kati , habari njema ni kwamba adhabu hiyo inakaribia kuisha hii inatokana na mreno huyo kutocheza mechi kadhaa za La liga tangu ilipotangazwa hadharani adhabu hiyo .kwa mujibu wa watu wa karibu na star huyo ambao miongoni mwao walionekana kufungamana na Ronaldo ktk sehemu za misosi wametoa siri juu ya Ronaldo , mbali na adhabu hiyo bado Ronaldo amezidi kuwa karibu na marafiki zake kama ilivyo kuwa hapo awali, hii inatosha  kubainisha ni jinsi gani Ronaldo anavyotambua thamani ya marafiki .

Comments

Popular posts from this blog

MONDI BABA LA MABABA