German football referee

Date 24 march 1979 police officer babiana steinhaus was born.Raia huyo wa ujerumani amekuwa mwanadada wa kwanza kuchezesha mchezo wa bundesliga.Babiana aliuongoza mchezo waJanaJumapili kati ya werde Bremen dhidi ya Hertha Berlin , mchezo ambao ulimalizika kwa sare. Mnamo may 2017 babian alijiunga rasmi na bundesliga baada ya kudumu kwa muda mrefu   taklibani miaka 6 ktk ligi daraja La pili kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ujerumani.

Comments

Popular posts from this blog

MONDI BABA LA MABABA