BIG UP SIMBA FROM TANDARE
Kama ulikuwa ni miongoni mwa watu wanaojulikana , ambao ndio waliokuwa wakimbeza Diamond platnumz baada ya msanii mkongwe wa bongo freva - king kiba kutoa nyimbo yake ya seduce me ,ambayo ilipokelewa vizuri sokoni basi kwa taarifa yako tuhhh mond ameachia mzigo mpyaaaaaa aliomshilikisha Morgan heritage - nyimbo inaitwa hallelujah , cha kufanya embu itafute hii track iliyofungamana na video yake kisha itazame na kuisikiliza then nijuze jehhh nani anafaa kuwa mfalme wa bongo freva ????.
Comments
Post a Comment