100 GOALS

Mshambuliaji wa club ya Arsenal Oliver Giraud mbali na kupitia kipindi kigumu cha mpito ktk club hiyo hatimaye amefikisha jumla ya magoli 100 na kuingia ktk historia ya club kwa kufikisha idadi hiyo ya magoli.tangu kuwasili kwa striker huyo Mara kwa Mara amekuwa akikumbana na upinzani mkubwa tokea kwaashabiki wa club hiyo , wakidai juu ya ubutu wa forward huyo hadtaili kuchezea team yao , lakini kwa sababu club haiendeshwi na mashabiki bado mpaka Leo hii Giraud ameendelea kuitumikia club hiyo kwa namna yake. Jehhh UPI mtazamo wako juu ya hatma ya player huyo ndani ya the gunners ?.

Comments

Popular posts from this blog

MONDI BABA LA MABABA