DANGEROUS STRIKER
Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea Leo huku ikiwa tayari mbabe wa nyavu H.Kane ameushika vyema usukani wa magoli kwa Kutupia mara 5 huku akifuatiwa na mreno Cr7 ambaye ametupia Mara 4 , hii vita bado mbichi mnooo tusubiri tuone mwisho wa picha itakuajeh.
Comments
Post a Comment