ZIFAHAMU TEAM KUBWA ALIZOWAI KUZINOA ANCELOTTI
PSG, Chelsea, Ac milan, Real Madrid na ya mwisho ni hii bayarn Munich .
Akiwa na club ya Ac Milan Ancelotti alifanikiwa kuutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa barani ulaya Mara mbili 2003 pamoja na 2007, huku akija kufanya ivyo tena kuutwaa ubingwa huo mwaka 2014_alipokuwa na club ya Real Madrid .
Comments
Post a Comment