ALICHOKIVUNA ANCELOTTI
Baada ya kudumu ktk club ya b.Munich taklibani misim 2 , Carlo Ancelotti hakutoka hivi hivi ktk club hiyo kwa sababu aliweza kufanikiwa kuijenga record ya aina yake ndani ya club hiyo. Ancelotti kiujumla aliiongoza b.Munich ktk michezo 60 na kufanikiwa kushinda mechi 42,sare mechi 9 pamoja na kupoteza michezo 9 iliyosalia..
Comments
Post a Comment