MONDI BABA LA MABABA

Kubwa kuliko mazehhhhhCEO wa WCB, baba Abdul, baba tiffah baba Nilan,rasmi alamba shavu la  kuwa Barozi wa kampuni ya pombe iliyopo Hukoo  nchini ufaransa .Luc belaire kupitia ukurasa wake wa Instagram imethibitisha kuingia makubaliano na Simba wa tandare. Ambapo kutokana na dili hilo nono diamond ataungana na wakali kibao.Wa music walio  kwisha saini dili kama hilo akiwemo Rick Ross.Kama hiyo haitoshi baada ya kuzagaa kwa taarifa hiyo hapo jana Mkali wa michano ya hiphop  tokea Marekani Bigstar RickRoss Alisibitisha ukweli wa taarifa hizo Kupitia twit yake  ndani ya kurasa yake ya Instagram kwa Kuandika "self made tastes better "Kwisha kwenye caption   aliweka picha ya Simbaaaaa Wa tandare diamond platnumz .Kuhusu mkwanja ambao platnumz ataingiza kupitia dili hilo bado hauko Public kutokana na kufichwa  kwa Ishu hiyo ilaaaaa Tayari wapekuzi wa mambo tumesha mtupia macho mmoja kati ya mabaloz wa luc belaire  ambaye inasemekana anaweka kibindoni Zaidi ya shilingi bilioni 8 za kitanzania.Aisehh hapa mkwanja upo wa kutosha embu tupige kimya huku tu Kisubiri kiasi cha mkwanja ambao mondi atauvuna tokea LUC BELAIRE.

Comments

Popular posts from this blog