TANZANIA KIBOKO YA MABISHOO
Mkali wa frestyle Rayvan/Vi vanboy tokea WCB,ameitwaa tuzo yaAfrican Act of the year iliyotolewa naUganda
Entertainment award .Haikuwa rahisi kwa chaleee huyo kuitwa tuzo hiyo kutokana na kipengele hicho kutawaliwa na wakali wa music tokea afrika .Alikuwepo Davido ,wizkid ,pamoja na mwanadada Vanessa mdee tokea tz .Tujikumbushe kidogooo Yapata miezi 4 sasa tangu Mwanafamilia huyo wa WCB aitwae tuzo Ya BET ktk kipengele cha Viewer's choice best new International Act 2017.Hivyo kuitwaa tuzo hiyo ya UgandaNi muendelezo mzuri wa mafanikio Ktk safari yake ya kimuziki
Comments
Post a Comment